Showing posts with label Athari ya umaskini katika jamii. Show all posts
Showing posts with label Athari ya umaskini katika jamii. Show all posts

Monday, December 29, 2008

MTOTO ANYWA SUMU YA PANYA

Posted by Unknown On 8:43 PM No comments

Mtoto Derick Denis (8) akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Mbozi mjini Vwawa baada ya kunywa sumu ya panya kufuatia wazazi wake kushindwa kumnunulia mavazi ya Krismas. Je, ni umaskini au ?

Site search

    More Text