Kumbe wewe ni mwananchi wa Mbozi! Tulizungukazunguka kule wilayani mwaka 2004 - mpaka Itaka, Nambinzo, Mbozi Mission, Iwalanje, Igamba, hadi Iyula na Nyimbili.
Je, wewe ni Mnyiha? Mwakaata bwana. Nyumbani kwako ni wapi? Unamfahamu mshikaji wangu Richard Yalonde?
Kumbe wewe ni mwananchi wa Mbozi! Tulizungukazunguka kule wilayani mwaka 2004 - mpaka Itaka, Nambinzo, Mbozi Mission, Iwalanje, Igamba, hadi Iyula na Nyimbili.
ReplyDeleteJe, wewe ni Mnyiha? Mwakaata bwana. Nyumbani kwako ni wapi? Unamfahamu mshikaji wangu Richard Yalonde?
Mark