Tuesday, May 1, 2012

Ujasiriamali ni muhimu kwetu sisi wanahabari. Hapa nimeanzisha utengenezaji wa vifaa vya kuangulia vifaranga sijui kama nitakuwa sahihi kuita mashine. inao uwezo wa kuangua mayai 140 hadi 150 na kutotolesha viafaranga kwa zaidi ya asilimia 80. Karibuni kwa ushauri na maboresho zaidi juu ya mashine hii inayotumia mafuta ya taa. kwa sasa tunauza Tzs 400,000/= kwa mawasiliano tumia barua pepe kmwazembe@yahoo.com au simu 0762 246 322 | 0715 246 322 | 0752 398 405

2 comments:

  1. we are driven by innovation

    ReplyDelete
  2. kwa wantanzania wenzetu kutengeneza kitu hiki minajivunia sana ila bei haipo kwenye ukwamuaji kwakweli kama kunauwezekano wakupunguza bei ikawa hata laki moja kwakweli mi mwenyewe ni mjasilia mali na ninapendakuwa na mashine ya kutotoleshea mayai walau hata trai mbili naomba ushirikiano wako mi napatikana mbeya

    ReplyDelete

Thank you for reading the article

Site search

    More Text