Friday, February 17, 2012

Mkulima anyanyasika

Posted by Unknown On 6:23 AM No comments
Hapa Mbozi kumeibuka wimbi la wizi wa kitapeli au udanganyifu baada ya wafanyabiashara wasio waaminifu kukutwa wakiuza mbolea ya bandia. Uchunguzi uliofanywa na timu maalum umesababisha wafanyabiashara hao kukimbia vibanda/maduka yao na kutokomea kusikojulikana.

Kufuatia hali hiyo tutarajie nini kama siyo njaa na umaskini katika jamii ya watanzania? TBS iko? Nini lengo la wafanyabiashara hao kama siyo hujuma?

0 comments:

Post a Comment

Thank you for reading the article

Site search

    More Text