Monday, February 1, 2010

Jumapili Januari 31, 2010 ilikuwa siku kubwa kwa familia ya Mchungaji Geofrey Mwakihaba anayesimamia usharika wa KKKT Forest jijini Mbeya alipowekwa wakfu kuwa Msadizi wa Askofu almaarufu kama Dean.
Ibada hiyo iliyofanyika katika kanisa la Tukuyu mjini iliongozwa na Askofu Dr. Israel Peter Mwakyolile


picha hizo ni sehemu ya shughuli yenyewe

Kwaya ya Forest ilimtukuza Mungu kwa wimbo wao maarufu Tunaishi siku za mwisho, pamoja na kwaya hiyo Zilikuwepo pia kwaya za Tumubombele Kyala, Calvary na ile ya vijana usharika wa Ruanda.

Wanakwaya wa Forest wakiimba


0 comments:

Post a Comment

Thank you for reading the article

Site search

    More Text