Thursday, May 20, 2010

Hivi ndivyo Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) ilivyotekeza vipodozi vyenye kemikali hatari kwa afya ya binadamu vilivyokamatwa katika mpaka wa Tanzania na Zambia mjini Tunduma vikiingizwa toka DRC.

Zoezi hilo lilifanyika Mei 18, 2010. Kaimu Meneja Mapato Msaidizi mkoani hapa Charles Kanimba amevitaja vipodozi hivyo kuwa ni Diploson na Carolight caton 600 na vingine mchanganyiko vyote kwa pamoja vikiwa na thamani ya shilingi milioni 70.

0 comments:

Post a Comment

Thank you for reading the article

Site search

    More Text