Wednesday, July 9, 2008


Pamoja na shughuli kuu ya utafiti wa mwenendo wa masoko ya kahawa toka kwa mkulima hadi kwa mlaji iliyomleta binti huyu katika wilaya ya Mbozi, alipata nafsi ya kuzulu maeneo mahsusi kwa utalii. Miongoni mwa maeneo aliyotembelea ni Kimondo cha Mbozi na mabaki ya mashamba ya kahawa ya wazungu (German settlers) yaliyopo maeneo mbalimbali wilayani hapa.

0 comments:

Post a Comment

Thank you for reading the article

Site search

    More Text