Sunday, February 23, 2014

KILIO KIKUU

Posted by Unknown On 5:16 AM No commentsKwa wafugaji wa kuku wilaya za Mbozi na Momba KUMEIBUKA KILIO KIKUU BAADA YA KUTUMIA CHANJO DHIDI YA KIDERI (New castle Vaccine) kuku wamekufa na wengine kupofuka macho kabla ya kufa. Serikali ifuatilie wahusika wauzaji chanjo feki na kuiondoa madukani bado inauzwa mkoani Mbeya

0 comments:

Post a Comment

Thank you for reading the article

Site search

    More Text