Monday, December 29, 2008

MTOTO ANYWA SUMU YA PANYA

Posted by Unknown On 8:43 PM No commentsMtoto Derick Denis (8) akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Mbozi mjini Vwawa baada ya kunywa sumu ya panya kufuatia wazazi wake kushindwa kumnunulia mavazi ya Krismas. Je, ni umaskini au ?

0 comments:

Post a Comment

Thank you for reading the article

Site search

    More Text