Monday, April 20, 2009

VIONGOZI WA MAALBINO MBOZI

Posted by Unknown On 2:49 AM No commentsMaalbino (viongozi) wamelivalia njuga suala la mwenzao aliyetishiwa wiki mbili na mtuhumiwa ambaye hadi sasa yuko uraiani.


Sydney Mwamlima ambaye ni katibu wa Chama cha Maalbino amedhamiria kulifikisha suala hilo kwa mkuu wa polisi mkoani hapa ili kuona anatakeleza maagizo ya serikali kuwalinda.


0 comments:

Post a Comment

Thank you for reading the article

Site search

    More Text